Nyakati za Swala

Egypt's Dar Al-Ifta

Nyakati za Swala

Question

 Ipi hukumu ya kufuata kalenda ya nyakati za Swala inayotolewa na mamlaka ya Utafiti ya Misri?

Answer

Ni lazima kufuata kalenda ambayo inatolewa na mamlaka ya utafiti ya Misri katika kupanga nyakati za Swala, kwa sababu kalenda ni sahihi imethibiti kwa maamuzi ya ngazi husika, wala haifai kwa hali yeyote kupuuza kufanyia kazi nyakati hizi zilizoainishwa na watu wa ngazi husika, kwa sababu ina ainisha nyakati za ibada na kujengewa hakumu zake, ni lazima kuondoa mitazamo ambayo inatengenisha mshikamano wa Umma, na wala haibainishi kielimu au asili sahihi.

Share this:

Related Fatwas