Hukumu ya mwanamke kuonekana bila y...

Egypt's Dar Al-Ifta

Hukumu ya mwanamke kuonekana bila ya hijabu mbele ya waume wa dada zake

Question

Je, inajuzu kwangu kuonekana bila hijabu mbele ya waume wa dada zangu, ijapokuwa nimekuwa nikiishi nao kwa muda mrefu, na wao ni kama ndugu zangu, na pia kuna tofauti ya umri kati yetu?

Answer

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, na rehma na amani zimwendee bwana wetu Mtume wa Mwenyezi Mungu, jamaa zake, Maswahaba wake na wanaomfuata. Na baada ya hayo:

Kwa upande wa kisharia, haifai kwa mwanamke kuonekana bila hijabu mbele ya waume wa dada zake, kwa sababu wao si miongoni mwa mahram (ndugu wa kudumu) wake.

Na katika yaliyosemwa  , jibu la swali limebainika.

Na Mwenyezi Mungu Mtukufu ni Mjuzi Zaidi

Share this:

Related Fatwas