Mazungumzo ya simu na Intaneti
Question
Ni ipi hukumu ya mazungumzo ya wavulana na wasicha kwa njia ya simu au Intaneti?
Answer
Kwa jina la Mwenyezi Mungu, sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, na rehma na amani zimwendee bwana wetu Mtume wa Mwenyezi Mungu, jamaa zake, Maswahaba wake na wanaomfuata. Na baada ya hayo:
Ikiwa mazungumzo kwa njia ya simu au Intaneti kati ya wavulana na wasichana yana kinachoyahalalisha, kama ndugu wanasalimiana, au wanafunzi wanabadilishana mada za elimu kwa njia ya heshima na adabu, na kwa maneno ya kujichunga hayatoki katika adabu za Kiislamu, hakukatazwi kisharia.
Na Mwenyezi Mungu Mtukufu ni Mjuzi Zaidi
Arabic
Englsh
French
Deutsch
Urdu
Pashto
Hausa
