Hukumu ya baba kusafiri akimwacha b...

Egypt's Dar Al-Ifta

Hukumu ya baba kusafiri akimwacha binti yake peke yake

Question

Ninataka kusafiri kwenda nchi ya mbali kwa ajili ya jambo linalohusiana na kazi yangu, na huenda nikakosekana kwa zaidi ya mwezi mmoja. Nina binti mkubwa wa miaka 18 ambaye anaishi nami nyumbani. Nitalazimika kumwacha peke yake kwa kuwa yeye ni mwanafunzi katika moja ya shule, na baadhi ya walimu wema humsaidia katika masomo yake, ingawa si jamaa zake wa karibu.

Sitaki kufunga safari hadi moyo wangu utulie. Ikiwa nitamchukua binti yangu pamoja nami, atakosa manufaa ya masomo. Na nikimwacha, naogopa maneno ya watu. Hakuna mtu yeyote wa maharimu yake katika mji ninapoishi.

Je, ni upi ushauri? Je, nitoe kafara ya masilahi yangu au ya binti yangu? Tafadhali niambieni jibu kulingana na elimu yenu pana ya hukumu za sheria tukufu ya Kiislamu.

Answer

Share this:

Related Fatwas