Mtazamo wa Uislamu katika Usekula....

Egypt's Dar Al-Ifta

Mtazamo wa Uislamu katika Usekula.

Question

Ni ipi rai ya Uislamu katika mfumo wa kisekula, na ipi hukumu ya kuchukua misingi yake pamoja na kuheshimu uhuru wa kidini, na sisi tunaona kuwa maendeleo hayafikiwi isipokuwa kwenye nchi zenye kufuata misingi ya usekula? 

Answer

Falsafa kamili ya Kisekula:
Maudhui kuu ya mfumo wa kisekula ni kupinga moja kwa moja, na hili huleta uhusiano wa moja kwa moja, miongoni mwa ulazima wa hilo ni kuwepo nguvu ya giza asiyoiona mwanadamu, kisha mfumo wa kisekula hauamini chochote zaidi ya uwepo wa kimwili unaoonekana, na kisha mfumo unasema kutenganisha maadili na mwenendo wa maisha ambapo hili Uislamu unalipinga na wala halikubaliki kwa hali yeyote ile.
Tofauti kati ya sehemu ya usekula na usekula kamili:
Kuna baadhi ya mitazamo ambayo inataka kuchukua baadhi ya maadili ya kisekula na kuifanyia kazi pasi ya kurejea kwenye falsafa kuu ya sekula na huu ndio usekula wa sehemu, ambao haupingwi na Uislamu.
 

Share this:

Related Fatwas