Mwenyezi Mungu Anaitwaje mdhalilish...

Egypt's Dar Al-Ifta

Mwenyezi Mungu Anaitwaje mdhalilishaji na Mjanja

Question

 Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu: Nilipokea barua pepe inayoitilia shaka dini yetu ya kweli na kuituma kwa zaidi ya mtu mmoja. Tafadhali nijibu ili niitume tena kwao ili kurekebisha sura ya Dini ya Kiislamu.
Maandishi ya barua hiyo: “Kwa kila anayeamini kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye kudhalilisha, mwenye kudhuru, mwenye kiburi na mjanja, kwa sababu wanaamini kwamba haya yameandikwa katika kitabu na wanaamini kwamba yametoka kwa Mwenyezi Mungu. Ninawaambia kwamba Mwenyezi Mungu hatakiteremsha kitabu chenye kujidhalilisha, na kwamba nyinyi mko njiani kuelekea motoni”.
“Swali lilikuwa gumu au vipi? Sawa, swali tena, lakini kwa njia tofauti: Ni nani anayepotosha, anayefedhehesha, mjanja na mwenye kiburi?:
1- Mungu
2- Shetani
3 – Wote wawili kwa pamoja
4- Hakuna hata mmoja wao
Yeyote anayejua kujibu, tafadhali atujibu na tunatoa shukrani

Answer

Share this:

Related Fatwas