Hukumu ya Kuunganisha kwa ovari

Egypt's Dar Al-Ifta

Hukumu ya Kuunganisha kwa ovari

Question

Ni ipi hukumu ya kufanyiwa opresheni ya kufunga kizazi? 

Answer

Kwa hakika operesheni ya kufunga kizazi au mfumo wa uzazi wa mwanamke pasipo na sababu ya dharura ni haramu katika Sharia, kwani ni kuharibu sehemu ya mwili wa mwanamke pasipo na haki, lakini ikiwa kuna haja (dharura) ya kufanya operesheni hiyo kama vile; kuhofia afya au maisha ya mwanamke akipata ujauzito baadaye, au akiwa na maradhi ya kurithi  yanayoweza kumpata mtoto na kwamba mwanamke huyu hana njia nyingine ya kuzuia mimba kwa mujibu wa ushauri wa daktari mhusika anayeaminiwa, katika hali hii operesheni ya kufugwa kizazi huruhusiwa kufanywa.

Share this:

Related Fatwas