Miradi bila leseni

Egypt's Dar Al-Ifta

Miradi bila leseni

Question

Je, nini hukumu ya kufungua viwanda visivyo na leseni?

Answer

Uislamu ulifanya kazi na mapato kwa ajili ya biashara; Imepokelewa kutoka kwa Al-Miqdam )R.A), kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W) amesema: “Hakuna mtu aliyewahi kula chakula bora kuliko kile ambacho kimetokana na mikono yake.. hakika nabii Daud alikuwa akila katika mapato ya mikono yake mwenyewe.” (Imepokelewa kutoka kwa Al-Bukhari).

Kuhusu viwanda visivyo na leseni, viwanda hivi ni haramu kwa mujibu wa sheria. Kwa sababu ya uharibifu na ukiukwaji husababisha mazingira kwa kukiuka vipimo, kudhuru majirani, na kadhalika. Pia inajumuisha ulaghai wa kibiashara, ambao Sharia imeamua kuukataza. Imepokelewa kutoka kwa Abu Huraira, (R.A), kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W), alipita karibu na chombo cha chakula, akaweka mkono wake ndani yake, na vidole vyake vikalowa. Mtume akasema: “Ni nini hiki ewe mwenye chakula? Akasema: kimenyeshewa na Mvua ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu. Mtume akasema: Kwa nini hukukiweka juu ya chakula ili watu wapate kukiona?  Mtume akasema:

Adanganyaye si katika mimi

Share this:

Related Fatwas