Hukumu ya Lensi

Egypt's Dar Al-Ifta

Hukumu ya Lensi

Question

Ni ipi hukumu ya kutumia lensi kwa wanaume na wanawake; kwa sababu ya macho? Pamoja na kujua kwamba hizi lensi zinaweza kuwa za rangi: Je, kuzitumia ni kumhadaa anayekutazama, au zinaingia katika kubadili alichoumba Mwenyezi Mungu, au kunaingia katika kumwonesha urembo asiekuwa Mahrim?

Answer

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, na rehma na amani zimwendee bwana wetu Mtume wa Mwenyezi Mungu, jamaa zake, Maswahaba wake na wanaomfuata. Na baada ya hayo:

kutumia lensi kwa njia iliyotajwa ni jambo linalojuzu kisharia; kwa sababu haliingii katika kumhadaa anayekuangalia; kwa sababu hizi ni latika aina ya wanja, nao ni katika mapambo yanayodhiri yanayoruhusiwa. Na hazijumuishi kubadili alichoumba Mwenyezi Mngu, isipokuwa tofauti kati ya macho na nywele: ni kwamba macho ni katika uso na uso kunajuzu kufunuliwa, ama nywele ni haramu kuzifunuwa kwa asiekuwa maharim na mume, lakini kufanana kunakuwa katika kupaka rangi ambako kumekatazwa kuonekana nywele kwa mtu kando, lakini hakuzangatiwi kuwa ni katika kubadisha Alichoumba Mwenyezi Mungu.

Hivyo hakuzingatiwi kuwa ni katika mapambo yaliyoharamishwa; kwa yaliyotangulia.

Na Mwenyezi Mungu Mtukufu ni Mjuzi Zaidi

Share this:

Related Fatwas