Hukumu ya kusafiri kwenda nchi zisi...

Egypt's Dar Al-Ifta

Hukumu ya kusafiri kwenda nchi zisizo za Kiislamu kwa ajili ya utalii

Question

Nini hukumu ya kusafiri kwenda katika nchi zisizo za Kiislamu kwa madhumuni ya utalii, kutazama athari na mandhari ya kihistoria ya nchi hizo, kufurahia maumbile na mambo mengine ya halali yasiyo haramu?

Answer

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, na rehma na amani zimwendee bwana wetu Mtume wa Mwenyezi Mungu, jamaa zake, Maswahaba wake na wanaomfuata. Na baada ya hayo:

Kusafiri kwenda katika nchi zisizo za Kiislamu kwa ajili ya utalii, kutazama athari na mandhari ya kihistoria, kufurahia maumbile na mambo mengine ya halali ni jambo linaloruhusiwa na si haramu.

Na Mwenyezi Mungu Mtukufu ni Mjuzi Zaidi

Share this:

Related Fatwas